ROBO FAINALI YA KWANZA: MATOKEO NA RATIBA YA EUROPA LEAGUE
![]()
Real madrid itakuwa na mlima pindi itakapokutana na wolfsurg ya ujerumani katika hatua ya robo fainali mzunguko wa pili pale Estadio Santiago Bernabeu, madrid wamejikuta wakiwa nyuma kwa magoli mawili baada ya wolfsburg kuutumia uwanja wao wa nyumbani vizuri na kufanikiwa kupata mabao hayo mawili kupitia Rodrigue 18' na Anorld 25' dhidi ya vigogo hao wa jiji la madrid, Spain. timu hiyo ya ujerumani ilicheza kwa umakini wa hali ya juu kuhakikisha real madrid haifanikiwi kupata goli la ugenini na kuhakikisha inamzuia Nyota Cristiano Ronaldo aliyeshindwa kuonyesha makali yake ya kufumania nyavu ili kuendeleza rekodi yake nzuri ya mabao ulaya, pia katika mechi hiyo Mshambuliaji Karim Benzema aliumia katika Dakika ya 40, kipindi cha kwanza na nafasi yake kuchukuliwa na Jese Rodriguez.
video ya magoli ya wolfsburg vs real madrid
Katika mechi nyingine, timu za manchester city ya Uingereza na Paris Saint German ya Ufaransa zilitoka sare ya magoli 2-2, katika mechi iliyopigwa katika uwanja wa Parc des princes Ufaransa, magoli ya ya city yakifungwa na kevin De bruyne na Fernadinho huku yale ya Psg yakifungwa na Zlatan Ibrahimovic na Adrian Rabiot na pia katika mchezo huo Ibrahimovic alikosa penalty iliyookolewa na mlinda mlango wa City Joe Hart, mechi ya marudiano itapigwa katika uwanja wa Etihad, Manchester.
![]()
wachezaji wa City wakishangilia goli lililofungwa na Fernandinho.
MATOKEO YA ROBO FAINALI YA KWANZA
WAFUNGAJI WA ULAYA MSIMU HUU
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
RATIBA YA EUROPA LEAGUE
| 22:05 | Athletic Club | v | Sevilla | |
| 22:05 | Borussia Dortmund | v | Liverpool | |
| 22:05 | Sporting Braga | v | Shakhtar Donetsk | |
| 22:05 | Villarreal | v | Sparta Praha |
























Comments
Post a Comment